Thursday, July 28, 2016
Tuesday, July 12, 2016
Viongozi wetu
Katika hali ya kawaida, kiongozi aliyechaguliwa na watu hawezi kupata jeuri ya kuwafanyia hiana, kuwaburuza na kuwaongoza kibabe au kiimla. Ukiona kiongozi aliyekalia nafasi inayopatikana kwa kuchaguliwa anafanya mabaya hayo, jua hakuchaguliwa huyo, kaingia kwa hila, kaiba kura. Katika hali ya kawaida, watu huchagua viongozi wenye kurudisha shukrani kwa kutenda mema. Anayewafanyia mabaya, analipa kisasi cha kutochaguliwa.
Subscribe to:
Posts (Atom)